Kanuni

بسم الله الرحمن الرحيم

السلام عليكم ورحمةالله وبركاته

🍇KANUNI  ZA FIRDAUS ISLAMIC FOUNDATION (F.I.F.O)🍇

1:🔹Kundi Hili Limeanzishwa Kwa Ajili Ya Kutafuta Radhi Za Allah,   Hivyo Ni Wajibu Wetu Kushirikiana Kwa Kila La Kheri Litakaloelezwa Humu Ndani Kwa Mwongozo Wa Viongozi Wetu.


2:🔹Kila Mwana Taasisi Aliyopo Na Atakayetaka Kujiunga Nasi Ni Wajibu Wake Kujitambulisha Na Kuzingatia Kanuni Zilizopo.


3:🔹Utambulisho Utakiwao Ni Kama Ifuatvyo,
- Jina Kamili
-Umri Wake
-Kazi

-Makazi

4:🔹Usibadili Profile Ukiwa Wewe Si Kiongozi,


5:🔹Taasisi Hii Inajishughulisha Na Masuala Yote Ya Kijamii Na Kiiman Kwa Kufuata Qur'an Na Sunna,


6:🔹Mtu Yeyote Akikwazika Iwe Ndani Ya Group Au Nje Awasiliane Na Kiongozi Wa Jinsia Yake Amueleze Hilo Tatizo,  Likiwa Kubwa Litajadiliwa Na Uongozi  Wote Na Maamuzi Yatatolewa,.



7:🔹Haturuhusu Vikaragosi, Picha Ya Aina Yeyote  ya kutisha Wala Video zisizokua na maadili  Isipokuwa Zenye Kuelimisha Na kutufunza humu ndani



8:🔹Admin Wote Wanaruhusiwa Kumuingiza Mtu Baada Ya Kumpa Kanuni Na Kupewa Idhini Na Kiongozi, Kumtoa Mtu Ni Jukumu La Amir Na Uongozi Wake Kwa Idhin Yake.



9:🔹Haturuhusu Post Yeyote Baada Yq Tangazo La Swala Kutolewa,  Mda Wa Swala Ni Nusu Saa,

10:🔹Ni Wajibu Wa Kila Mwana Taasisi Kuhudhuria Vikao(Wakazi Wa D'Salaam)  Ukiwa Na Dharula Toa Taarifa Mapema,
11:🔹Ni Wajibu Wa Kila Mwana Taasisi Kuchangia Hoja Na Kujibu Maswali Pindi Yatakapotolewa.

12:🔹Ukiwa Hujachangia Chochote Ndani Ya Siku 30 Atawajibishwa

13:🔹Tujiepusheni Na Lugha Chafu Za Kebehi,Mada Zenye Ikhtilafu Hazitakiwi

14:🔹Kila Mwana Taasisi Haruhusiwi Kuweka Vikaragosi Katika Sehemu Ya Jina, Tunahitaji Lisomeke Jina Kamili Ndani Ya Group.
15:🔹Mwanachama Yeyote Mwenye Jambo Lake Binafsi(Maradhi,Msiba,Ndoa Na Hakika) Amweleze Kiongozi Inbox Na Si Kujichukulia Hatua Ya Kutuma Kwenye Group.

16:🔹swadaqa Ya Kila ijumaa 2000 Kwa Ajili Ya Maendeleo Ya Taasisi Na Kwa Dharula Yeyote Itakayojitokeza.

17:🔹Yeyote Atakaye Left Bila Taarifa Kwa kwahiyo kama una dharura tia taarifa ili utolewe na kiongozi ingia inbox kwa kiongozi na umwambie akutoe ila ukijitoa mwenyewe Uongozi Hatorejeshwa.


18:🔹Mda Wa Mwisho Kutuma Ujumbe Wowote Ndani Ya Group Ni Saa 5:00 Usiku.




19:🔹Yeyote Atakayekwenda Kinyume Na Sharia Hii, Ataonywa Mara 3, Asipojirekebisha Atatolewa Ndani Ya Group.

🔶Uongozi Wa Firdaus Islamic Foundation (F.I.F.O)🔶

Comments