Posts

Kanuni

بسم الله الرحمن الرحيم السلام عليكم ورحمةالله وبركاته 🍇KANUNI  ZA FIRDAUS ISLAMIC FOUNDATION (F.I.F.O)🍇 1:🔹Kundi Hili Limeanzishwa Kwa Ajili Ya Kutafuta Radhi Za Allah,   Hivyo Ni Wajibu Wetu Kushirikiana Kwa Kila La Kheri Litakaloelezwa Humu Ndani Kwa Mwongozo Wa Viongozi Wetu. 2:🔹Kila Mwana Taasisi Aliyopo Na Atakayetaka Kujiunga Nasi Ni Wajibu Wake Kujitambulisha Na Kuzingatia Kanuni Zilizopo. 3:🔹Utambulisho Utakiwao Ni Kama Ifuatvyo, - Jina Kamili -Umri Wake -Kazi -Makazi 4:🔹Usibadili Profile Ukiwa Wewe Si Kiongozi, 5:🔹Taasisi Hii Inajishughulisha Na Masuala Yote Ya Kijamii Na Kiiman Kwa Kufuata Qur'an Na Sunna, 6:🔹Mtu Yeyote Akikwazika Iwe Ndani Ya Group Au Nje Awasiliane Na Kiongozi Wa Jinsia Yake Amueleze Hilo Tatizo,  Likiwa Kubwa Litajadiliwa Na Uongozi  Wote Na Maamuzi Yatatolewa,. 7:🔹Haturuhusu Vikaragosi, Picha Ya Aina Yeyote  ya kutisha Wala Video zisizokua na maadili  Isipokuwa Zenye Kuelimisha Na kutufunza humu ndani 8:🔹Admi